Thursday, April 17, 2014

Single mpya ya TID inaitwa Chumvini!! Kamshirikisha Jay Moe

0 comments Posted by Hisia on 2:19 AM
ceaabdfec55111e394610002c9559a9a_8Top in Dar aka Mnyama anatarajia kuachia single mpya aliyomshirikisha Jay Moe. Single hiyo ambayo itatoka Ijumaa hii inaitwa ‘Chumvini’.
Hivi karibuni muimbaji huyo mkongwe na kiongozi wa Top Band ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed, aliachia video mbili kwa mpigo ikiwemo ya wimbo alimshirikisha Profesa Jay ‘Raha’

Friday, April 11, 2014

Thursday, April 10, 2014

Wednesday, April 9, 2014

Saturday, April 5, 2014

CONTACT

0 comments Posted by Hisia on 8:28 AM
CONTACT

Monday, March 17, 2014

Tuesday, January 7, 2014

SASA WASTARA KUOLEWA NA BILIONEA

0 comments Posted by Hisia on 9:52 PM
Stori:  Na Imelda Mtema
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati muafaka wa kumpata mtu wa kuziba pengo la marehemu mume wake


“Inatosha sasa, nadhani muda wa kuwa na mwenzangu umefika. Napenda huyo mwanaume awe mwenye huruma, upendo na kutambua thamani ya mke lakini ni vizuri akiwa mwenye kujituma na awe na fedha nyingi.


“Natamani kuolewa na bilionea. Najua nikiwa na mwanaume wa aina hiyo sitateseka, nitapata kila ninachokitaka. Unajua mimi kama mwanamke nina mambo mengi. Siyo siri natamani itokee siku moja niendeshe Hummer au Prado (aina za magari) kulingana na hadhi yangu.


“Kiukweli nitafurahi sana nikimpata mwanaume wa aina hiyo, maana nitakuwa na uhakika wa kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kunisaidia katika shughuli zangu za sanaa,” alisema Wastara.

Source:Global Publishers
 

Recent Comments

Bookmark & Share

© 2011 Mserereko Template by Hisia za Mwananchi